Ikiwa shughuli za kujiandikisha kupiga kura zikiendelea nchini Pakistan, bomu la kujitoa muhanga limelipuliwa katika moja ya vituo hivyo na kusababisha vifo vya watu 57.
Inaelezwa kuwa tukio hilo la bomu ambalo limefanyika katika mji mkuu Kabul pia limejeruhi watu 119 na kati ya waliouawa 21 ni wanawake na watoto watano.
Waliotekeleza shambulio hilo ni Kundi la kigaidi la Islamic State (IS) ambalo limekiri kuhusika na tukio hilo.
Uandikishaji huo wa wapiga kura ulianza March, nchi hiyo ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu ambao utafanyika October mwaka huu 2018.
Mbunge Mtulia alivyotembelea wakazi waliyopata mafuriko Kinondoni