Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella leo August 10, 2017 ameamuru makampuni ya Skysraper na Caspian kurudisha funguo za kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries Limied Mwanza kwa Serikali na kuwa mali ya Serikali rasmi.
Kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries ni miongoni mwa viwanda walivyowepa wawekezaji huku wawekezaji wake wakiwa Makampuni ya Skyscraper na Caspian lakini sasa kimefungwa baada ya wawekezaji hao kushindwa kuendeleza uzalishaji kwa muda mrefu na kuwa eneo la kutunzia vyuma chakavu.
UFAFANUZI: Kuhusu Polisi kudaiwa kumpiga risasi mke wa Mwenyekiti, Mwanza!!!!
VIDEO: Polisi Dodoma kuhusu Mwanamke aliyeuawa na kutenganishwa kichwa!!!!