Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni Dodoma leo January 29, 2019 ili kuchangia mapendekezo yake katika Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 ambapo ameitaka Serikali kufanya mabadiliko katika Muswada huo kw avile imeonesha ubaguzi mkubwa katika mfumo wa kisiasa.