Salome Mlelema ni Mama alieamua kuiacha familia yake na kwenda kutafuta maisha katika machimbo ya dhahabu Mwima Kahama, kazi yake ni kununua mawe kisha kupiga chabo kama yana dhahabu na kutafuta wateja.
“Nimepita kwenye Biashara nyingi nikaona hazinipi faida nikaona acha nije huku kufanya hii kazi, ninachokifanya mawe yatoke ibaki dhahabu kisha napatanisha bei” -Salome
Makonda afunguka kulia Kanisani “Mimi ningekuwa nimekufa | Hakuna Urais pale”