February 25 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ilichezwa game ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kati ya Simba vs Yanga, game hiyo ambayo ilimalizika kwa Simba kupata ushindi wa goli 2-1, ilikuwa na mvuto wa aina yake kiasi cha kupelekea watu maarufu mbalimbali kuhudhuria.
Miongoni mwa watu ambao hawakutaka kupitwa na game hiyo ni pamoja na Madee, Ommy Dimpoz na Mwana FA wanaoshabiki Simba, muigizaji Wema Sepetu ambaye ni shabiki wa Yanga, mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete pamoja na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.
FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5