February 5, 2019 ilitokea taharuki Bungeni Dodoma baada ya alarm ya tahadhari kulia wakati kikao cha saba cha Bunge la kumi na moja kikiendelea na kusababisha Mwenyekliti wa Bunge Najma Giga kulazimika kuhairisha kikao hicho kwa muda na baadae kurudi na kuendelea na kazi.
MAAJABU: MGANGA AJENGA KABURI LA BILIONI 1 KABLA YA KIFO, AZIKWE NA WAKE ZAKE