January 29, 2019 Bunge linajadili na kuchangia mapendekezo yake katika Muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018, nje ya ukumbi wa Bunge nakukutanisha na maoni ya baadhi ya Wabunge kuhusu muswada huo.
Mbunge Goodluck Mlinga na Kingu wazungumzia Muswada wa Vyama “una athari”