Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amehoji ni kwanini Serikali kupitia sheria ya takwimu imeweka zuio la mtu binafi, chombo binafsi au taasisi kufanya tafiti mbadala kwa madai kwamba inazuia taarifa za upotoshwaji wakati Serikali yenyewe hutoa takwimu zisizo sahihi.