Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora George Mkuchika ametoa ufafanuzi mbele ya Bunge kuhusu sheria inayomruhusu Mkuu wa Wilaya na mkoa kuweka watu ndani na kwamba wengi wa viongozi hao wamekuwa wakikiuka sheria kwa kufanya kinyume na sheria inavyotaka ambapo pia ametumia muda huo kuwaonya.
MTOTO WA MIAKA TISA AJINYONGA MKOANI KWA RC MWANRI