Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amekemea tabia ya Wataalam na Watendaji kutotoa taarifa za matatizo ya mambo mbalimbali kwa wananchi ili wajue yanavyoshughulikiwa badala yake kukaa kimya na kusababisha wananchi kuanza kuilamu Serikali yao bila sababu.
Majaliwa ameyasema hayo wakati wa ziara yake Mkoani Kigoma alipokuwa akikagua mradi wa Maji katika Kijiji cha Muhange Wilayani Kakonko.
UTACHEKA NA MAPYA RC MWANRI “YEP YEP YEEEP GEUKA, MNYAKUO, NITAWAKUMBA”