Adam Mchomvu, Shadee, Millard Ayo alikua miongoni mwa Watangazaji na Waandishi wa Afrika walioalikwa kulitembelea Jiji la Johannesburg South Africa na kupelekwa sehemu ambazo Watalii wanazipenda ikiwemo Soweto, eneo la kihistoria ambalo tumekua tukilisikia sana.
Watalii hupewa Pikipiki maarufu kama ‘Quad Bikes‘ na kuziendesha kupita kutazama eneo hilo la Soweto, hata kama hujui kuendesha Pikipiki kuna maelekezo rahisi ya muda mfupi yatayokuwezesha kuendesha tena kwa ku-enjoy…. jionee mwenyewe kwenye hii video fupi hapa chini.
MILLARD AYO ALIVYOKARIBISHWA SOUTH AFRIKA KUENDESHA QUAD BIKES
https://www.youtube.com/watch?v=q5rz-YPKcmI
2017 HIGHLIGHTS: Millard Ayo kwenye Afro Punk Africa 2017…. tazama kwenye hii video hapa chini