Tumeisikiliza audio ya single ya juu kwa zaidi ya wiki 8 bila video yake lakini leo December 12, 2016 Waimbaji wa bongofleva Vanessa Mdee na Jux wametupatia nafasi ya kuitazama video mpya ya Juu , audio imefanywa Producer Lufa Switcher Records na video imefanywa na Director Campos wa Afrika Kusini.
STAR LOOK-ALIKE: Tazama Watanzania wanaofanana na Jay Z, Rais Magufuli, Jux na wengine kwenye hii video hapa chini