Mwanafunzi wa Chuo cha Harvard (Raia wa Uganda) Hillary Seguya amefungua kesi akitaka alipwe Billion 06 za Uganda kwa kupigwa block Twitter na Rais Museveni, Msemaji wa Serikali Uganda, Ofwono Opondo na Afisa wa Polisi, Asan Kasingye .
Katika kesi hiyo Seguya anasimamiwa na Wakili Male Mabirizi ambapo anasema kitendo cha Viongozi hao kumblock kinamnyima haki na uhuru wa kupokea na kutoa maoni.
“Nimeathirika kisaikolojia, nimeporwa haki ya kusikilizwa, wameniblock bila kunipa kwanza taarifa”
EXCLUSIVE: WAZAZI WANGU WAMENITENGA KISA WANANGU WALEMAVU, BABA ANATAKA KUNIFUNGA, NIMELETA NUKSI.