Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amemmjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020.
Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini DSM, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.