Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amempigia simu Rais Magufuli, ili aweze kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka minne kuanzia mwaka 2017 hadi 2020, kwa wananchi wa kata ya Isongole, kijiji cha Isyonje ambapo eneo hilo lilikuwa limependekezwa na TANROADS kujenga mradi wa mzani wa kupimia uzito magari.
HAIJAWAHI TOKEA NYOKA MKUBWA KAMA HUYU DUNIANI, ANAMEZA MAMBA MKUBWA