Taarifa iliyotufikia asubuhi ya leo February 4, 2020 Rais wa Pili wa Jamhuri ya Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi amefariki dunia.
Rais Uhuru Kenyatta amewatangazia wananchi wa Kenya taarifa hizi asubuhi ya leo, Moi amefariki akiwa na umri wa miaka 95.
MBOWE AMVAA DC SABAYA “WATOTO HAO, ANAFANYA MAMBO YA KIHUNI, KIJINGA”