Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu ambapo katika mabadiliko hayo ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu ambapo amemteua Dkt. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.
Katika nafasi ya Naibu Waziri Mkuu atakuwa anashughulikia Uratibu wa Shughuli za Serikali.nimekuwekea orodha nyingine hapa uwafahamu waliotajwa kwenye nafasi nyingine.