Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Mhe. Ismail Omar Guelleh ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo.