“Rais Samia ameridhia na ametoa Bilioni 80 mwaka huu mwezi huu April 21 ziende kuimarisha eneo la upatikanaji wa dawa, vipimo na vifaa tiba, eneo ambalo limezungumzwa kuwa kero sana kwa Wananchi wetu sasa hivi, utaratibu wa kununua dawa hizi haraka sana unaendelea hili tuzifikishe mahali sahihi”———Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima
“Hii ni nyongeza ya fedha iliyotolewa kipindi cha July mpaka December ya Bilioni 43 zikaongezwa nyingine kama 18″———GWAJIMA