“Vijichokochoko vimeanza naomba msivipokee, wanaokuja na hivyo walishajua matumbo yao yanajaaje, chakula chao wanatoa wapi, fedha za matibabu wanatoa wapi nawaomba sana wasiwaingize kwenye huo mkenge kwa sababu pakichafuka ni wewe na familia yako mtakaa ndani msijue chakula mtatoa wapi na wala usijue mtoto akiumwa utamtibu kwa fedha gani” Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Morogoro.