Ni January 10 ,2023 ambapo imefanyika harambee ya kuchangia timu ya Taifa Stars kwenye hoteli ya Johari Rotana huku zoezi hilo liliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
Sasa Miongoni mwa waliotoa michango yao niRais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng.Hersi Ally Said ambae alichangia tsh millioni 10 na pamoja na tsh millioni 50 kutoka kwa mdhamini na mfadhili wetu Ghalib Said Mohamed ikiwa ksehemu ya hafla ya Harambee ya kuchangia timu za Taifa inayofanyika jana katika Hoteli ya Johari Rotana.