Serikali ya Mkoa wa Kigoma imetoa salamu za rambirambi kwa nchi ya Burundi kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza aliefariki mapema wiki hii.
RC Mganga amefika katika Ubalozi huo na kuwasilisha salamu hizo ambapo amesisitiza kuwa kutokana na amani iliyopo Burundi zoezi la kuwarudisha wakimbizi litaendelea baada ya kusistishwa kwa muda.