Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amepokea na kukabidhi Speed Boat kwa Watendaji wa Halmashauri ya Wiya ya Muleba kwa ajili ya kuimarisha shughuli za Uvuvi ikiwa ni sambamba na kutoa maagizo kwa wanaofanya doria ndani ya Ziwa hilo.