Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo April 6, 2020 “Hivi wangapi wameacha kutongoza kwasababu ya UKIMWI?, kwanini tunatafuta mbinu za kwenda kununua kinga ili tutimize haja ya mwili ya kila siku, halafu tushindwe kujilinda kwa kufanya usafi wa mikono!?, corona inaua, tujilinde ila tufanye pia kazi”.
CHUI AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA, AMEAMBUKIZWA BINADAMU