Leo February 26, 2020 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Anna Mghwira amebaini upotevu wa Shilingi Mil.300 wakati wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.
Aliyekua Mkurugenzi wa Halmshauri hiyo anatajwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo.