Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameeleza mchango wa Ruge Mutahaba alioufanya katika Mkoa wa huo uliokuwa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa vyoo na magonjwa ya mlipuko kwa watoto.
Mwanri “Aliniambia tatizo lililopo katika mkoa ni watu wanakula chakula bila kunawa na akanambia nitoe elimu kwa watu na watendaji wahize kujenga vyoo”.
JESHI LAKAMATA SILAHA 50 KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI “HII INAUA TEMBO TU”