Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewapiga marufuku wakulima wa zao la Tumbaku kuendesha kilimo cha zao hilo pasipo kuwa na mashamba ya miti lengo ikiwa ni kusaidia kuondokana na uharibifu wa miti asili ambayo imekuwa ikiteketezwa na wakulima wakati wa ukaushaji wa Tumbaku.