RC Mwanro ameelekezwa kwa Vyuo na Sekondari mkoani Tabora kuwa na kifaa cha kupimia joto vilevile kuhakikisha wanafunzi kuwa na barakoa zaidi ya moja kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Hii ni baada ya tamko la Rais Magufuli kuhusu kufunguliwa kwa Vyuo na Sekondari kwa kidato cha sita, Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amekutana na Wakuu wa Shule na Maafisa Elimu.