Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenl. Marco Gaguti amezindua mpango wa kusikiliza kero za aina mbalimbali hususani masuala ya Kisheria kwa kuweka Vyombo vyote sehemu moja kwa ajili ya kumaliza matatizo yanayowakabili wananchi. Zoezi hilo litadumu kwa siku tatu katika Viwanja vya Gymkhana Manispaa ya Bukoba.
RC MWANRI KAIBU NA JIPYA “WOTE WAONDOKE MJINI, KAGUA CHUMBA KWA CHUMBA”