Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amebuni mbinu mpya ya kuwakutanisha vijana waendesha pikipiki (dereva bodaboda) na Jeshi la Polisi kwa lengo la kuwapa Elimu juu ya Usalama na Vyombo vya moto Mkoani humo kwa kuandaa mashindano ya mpira wa miguu na kueleza mpango alionao juu ya vijana hao.
RAIS MAGUFULI “RUSHWA NI UGONJWA ZAIDI YA KANSA HASA KUBWA”