February 6, 2018 ilikuwa siku ya kikao cha Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Arusha lakini baada ya kikao kumalizika Diwani wa Kata ya Daraja Mbili CHADEMA Prosper Msofe alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kukutwa na nyaraka za siri za serikali.
Baada ya kuachiwa Diwani huyo amemtuhumu Meya wa Jiji la Kalist Lazaro kwa madai yakuhusika kumuweka ndani baada ya kuhoji suala la kusaini mikataba ya maduka ya stendi ndogo kinyume na utaratibu.
ALICHOZUNGUMZA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KESI YAKE NA HAMISA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
LIVE BUNGENI: Kipindi cha maswali na majibu
Wema Sepetu baada ya kutoka Mahakamani