Wakati mchezo wa Gor Mahia dhidi ya Everton unaendelea katika Uwanja wa Taifa, DSM shabiki mmoja wa soka alishindwa kujizuia kutokana na mapenzi yake kwa staa wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney hivyo kuvamia uwanjani na kumkumbatia kabla ya kutolewa na Askari.
Gor Mahia vs Everton: Full Time 1-2 (ALL GOALS JULY 13, 2017)!!!!