Kwenye siasa story zinazotawala headlines kwa sasa hivi nyingi zinahusu harakati za Wagombea kuanza kampeni zao.. lakini hii inahusu majonzi kwenye upande huohuo wa kisiasa.
Mama Eugene Mwaiposa alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga Dar, taarifa ambayo ilianza kuenea toka mchana kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandaoni ilihusu kufariki kwa Mbunge huyo akiwa nyumbani kwake Dodoma.
Taarifa ya msiba huo ilienea wakati Kikao cha Bunge la Bajeti kinaendelea leo JUNE 02 2015 Dodoma.
#RIP Eugene Mwaiposa.
Hii ni sauti niliyoitoa MICHUZI BLOG ambayo anasikia Naibu Spika, Job Ndugai akitoa taarifa ya msiba huo Bungeni Dodoma leo.
https://soundcloud.com/issamichuzi/taarifa-ya-kifo-cha-mh-eugene-mwaiposa