Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ameufuta mchakato wa kura za maoni uliofanyika katika Jimbo la Singida Kaskazini baada ya wagombea kujihusisha katika vitendo vya Rushwa.
Imeelezwa kuwa mchakato huo utafanyika tena na kwa siku ya kesho December 13, wanaotaka kugombea katika jimbo hilo watachukua fomu na kuzirudisha kisha siku Alhamis December 14, itapigwa kura ya maoni ha Halmashauri kuu ya Jimbo badala ya Mkutano Mkuu wa Jimbo.
Ulipitwa na hii? Mwenyekiti wa UVCCM alivyofikishwa Mahakamani Dodoma leo