Viongozi watano wa Kampuni ya Katani Limited akiwemo Mkurugenzi wa zamani wa Kampuni hiyo Salum Shamte pamoja na mwanae Juma Shamte ambae ndio Mkurugenzi wa sasa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kushindwa kulipa madai ya wakulima wa Mkonge kiasi cha zaidi ya Bilioni 29 ambacho wanaidai Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka 19.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela amechukua uamuzi wa kuamuru viongozi hao wakamatwe baada ya kupokea taarifa ya ukaguzi maalum uliofanywa na Wizara ya Fedha na Mipango kwa kampuni hiyo.
NDALICHAKO AKUTANA NA GHOROFA MTOTO LA BILIONI 10 ”MI NAJENGA BANDA LA KUKU”