Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizindua mradi wa kitaifa wa matumizi bora ya ardhi kwa Vijiji 226 nchini vinavyopitiwa na Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi amewataka wananchi wa Tabora kujivunia Serikali kuwekeza Bilioni 600.
MBUNGE ASAFIRI KWA BAJAJI AKIWAPELEKEA FUTARI WALIOKUMBWA MAFURIKO JANGWANI