“Nimejifunza kila kitu ktk maisha kwa kutumia mpira mguuni mwangu” hii ni kauli iliyotoka mdomoni mwa gwiji ama nguli wa soka Mbrazil Ronaldo de Assís Moreira maarufu Ronaldinho, itazame makala fupi ikielezea maisha yake hasa yanayohusiana na hiyo kauli.