Baada ya usiku wa December 1 kuchezwa michezo ya Kombe la Capital One Uingereza, December 2 ni zamu ya Hispania kushuhudia mechi za Copa del Rey kwa vilabu vya Real Madrid kucheza na Cadiz, FC Barcelona kucheza na Villanovense. Headlines zilizoandikwa December 2 za staa wa soka wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ni shabiki kulia baada ya kufanikiwa kukutana na staa huyo pamoja na kupata saini ya Ronaldo.
Huu ni upendo wa hali ya juu aliyokuatana nao Cristiano Ronaldo uwanja wa ndege wa Bilbao Hispania akiwa kaongozana pamoja na mchezaji mwenzake Luka Modric na kukutana na mashabiki ambao walikuwa wakiisubiri timu ya Real Madrid, kilichovutia ni shabiki aliyemuona Ronaldo na kutoa machozi baada ya staa huyo kusaini jezi yake,
Hii ni video ya staa huyo wa soka alivyowasili uwanja wa ndege wa Bilbao na kukutana na love ya kutosha kwa shabiki.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.