Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga Edward Bukombe amesema wamesitisha mkutano wa ndani wa Chama cha ACT Wazalendo kwa sababu za usalama kwani wamepata taarifa kuwa kuna kikundi kinataka kuwafanyia vurugu Viongozi na Wanachama wa Chama hicho hivyo hali ikiwa shwari wataruhusu vikao hivyo viendelee.