Kamanda wa Jeshi la Polis Mkoa wa Kagera Revocatus Malimi amezungumzia tukio la mauaji yaliyotokea Wilayani Muleba yakimhusisha Mtoto aliyepotea kwa siku 11 akitokea shuleni na kukutwa shambani kwa Bibi mmoja maeneo hayo akiwa amefukiwa kwenye shimo huku akiwa amesimamishwa wima hali iliyopelekea baadhi ya wananchi kukata migomba na kuchoma nyumba sambamba na kumuua Bibi huyo.
DAH! MTOTO APOTEA SIKU 11 AKUTWA AMEZIKWA KATIKA SHAMBA LA BIBI ALIYEUAWA NA WANANCHI