Leo July 27, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana Mbunge Tundu Lissu baada ya kutimiza masharti kwa kuwa na wadhamini wawili wenye bondi ya Tsh. Milioni 10 kila mmoja huku akipewa sharti la kutotka nje ya nje ya Dar es Salaam.
Kesi yake imeahirishwa hadi August 24 lakini moja ya mambo yaliyojitokeza Mahakamani hapo ni tukio la Kiongozi wa Mawakili 18 wanaomtetea Tundu Lissu, Fatma Karume kuzuiwa kuzungumza na Waandishi wa Habari.
Tazama tukio zima kwa kuplay kwenye VIDEO hii hapa chini.
ULIPITWA? FULL VIDEO: Fatma Karume Wakili wa Lissu aongea kinachoendelea…