Leo June 19, 2017 TAKUKURU ilitangaza kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wawili wa kesi za ESCROW na IPTL James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa makosa ya uhujumu uchumi ambapo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM.
Nimekuwekea picha 10 hapa eneo hilo!!!
BREAKING: TAKUKURU yawapeleka Mahakamani Rugemalila na Harbinder Sethi, Bonyeza play hapa chini kutazama