
Najua nina watu wangu wanataka kufahamu ni nchi ipi inayoongoza kwa rushwa duniani, sasa basi leo nimekusogezea nchi 10 zinazoongoza kwa rushwa duniani;
nafasi ya kumi ni Eritrea

Nafasi ya tisa (9) ni Libya

Nafasi ya nane (8) imetajwa kwamba ni Uzbekistan

Nafasi ya saba (7) imetajwa kwamba ni Turkmenistan.

Taifa la Turkmenistan imeshika nafasi ya saba haishangazi kwa kuwa eneo ambalo taifa hili lipo ni eneo la hatari linazungukwa na mataifa ambayo kwa jumla yake yametengeneza orodha hii ya mataifa yanayoongoza kwa rushwa.
Nafasi ya sita (6) imetajwa ni Iraq

Nafasi ya tano (5) ni South Sudan

Nafasi ya nne (4) ni Afghanistan

Nafasi ya tatu (3) ni Sudan

Nafasi ya pili (2) imetajwa ni North Korea

Nafasi ya kwanza (1) imetajwa ni Somalia

Unaweza uka bonyeza play kusikiliza nchi hizo 10 zinazoongoza kwa Rushwa
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos