Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kumhamisha Mratibu wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini, TARURA, Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kile alichoeleza kuwa hatoshi katika nafasi hiyo, ikiwa ni pamoja na kushindwa kukusanya mapato.
VIKWAZO KODI ZA MIPAKANI VYAONDOLEWA, “SI RUSHWA YA PESA TU! HATA YA NGONO IPO”