Rwanda imesema Baraza zima la Mawaziri, Makatibu Wakuu, Viongozi wa Idara za Umma na viongozi wengine ndani ya Serikali hawatapokea mishahara yao ya mwezi Aprili ili fedha hizo zitumike katika mapambano dhidi ya Coronavirus.
RELI YASOMBWA NA MAJI, MKURUGENZI ATOA MAAGIZO “CHAKULA KINATOKA HUKU, MFANYE UJENZI NDANI YA MAJI”