Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa kamata na kuwaweka gerezani walemavu wote wanaojihusisha na vitendo vya kuomba omba barabarani kwa madai kuwa ni chanzo cha uchafu mjini.
Kwa upande wa walemavu wamepokea umamuzi huo kwa shingo upande huku baadhi ya raia wakisema kwamba uamuzi huo umekuja kwa lengo la kukandamiza walemavu na watu maskini.
LIVE MAGAZETI: Matibabu ya Lissu ngoma nzito, Dereva wake atoweka, Aliyevumbua Tanzanite aula