Saa adimu sana ya Caris LeVert ilidaiwa kuibwa kwenye tafrija mapema mwezi huu na kupitia TMZ imegundulika kuwa fowadi huyo wa Cleveland Cavaliers aliwaomba polisi msaada ili kuweza kuirejesha.
LeVert aliwaambia polisi kwamba yote yalifanywa Agosti 1 wakati wa shambulio nyumbani kwake eneo la Los Angeles.
Kwa mujibu wa polisi, mtu alionekana katika chumba cha kulala cha LeVert wakati wa sherehe na wakati alipoenda kuangalia hali ilivyokuwa, aligundua sanduku lake la saa lilikuwa wazi na Peugeot yake ya $ 93,000 sawa na pesa za Kitanzania Million 232,035,000 haikuwepo.
LeVert alienda polisi na kuandikisha ripoti ya wizi ingawa hakuna mtu aliyekamatwa hadi sasa huku kesi hiyoikiwa kwenye uchunguzi kwa sasa.
Tazama pia…