Aliyekuwa DC wa Hai lengai Ole Sabaya anayeshtakiwa kwa kosa la unyang’anyi wakutumia Silaha amekana kuwepo kwenye duka la Mohamed Saadi February 2,2021 nakusema alikuwa eneo la Market Street katika Jiji la Arusha na hawez kutoa siri ya eneo alilokuwepo na hawezi kuwataja waliotaka kumuua .
IGP SIRRO ATOA TAMKO GWAJIMA KUKAMATWA “TUTACHUKUA HATUA, TUNASUBIRI MAELEKEZO KWA MAANDISHI”