Waziri wa mambo ya Ndani ya nchi George Simbachawene amesema wanaendelea kuchunguza taarifa iliyotolewa na Askofu Mwingira kuwa alitishiwa kuuawa zaidi mara ya tatu na kumuagiza Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kuchukua hatua ya kukaa na Askofu huyo kupata taarifa ya waliomtishia maisha na yeye atoe ushirikiano kwa Jeshi.