Kila mtanzania mpenda soka kwa sasa anasubiri kwa hamu mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika AFCON kati ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars dhidi ya timu ya taifa ya Misri, kuelekea mchezo huo millardayo.com ilifanikiwa kumpata nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta na kuongea kauli hii.
“Tunachoangalis sisi ni mechi ya kesho hatuangalii kuhusu kupita au kutokupita ila muhimu ni kupata ushindi na kuwapa furaha watanzania katika mchezo tutakaocheza nyumbani hatuwezi kufikiria kuwa hatutapita, muhimu ni ushindi halafu mambo mengine yatafuata baadae”
KAMA ULIIKOSA VIDEO YA MANJI AKITAJA WANAOHUJUMU UCHAGUZI WA YANGA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE